Bahati Bukuku [Dunia Haina huruma ] official video
Bahati bukuku ni mmoja wa waimbaji wa injili ambao wanaimba vizuri sana na nyimbo zake zina ujumbe katika jamii. mfano mzuri wimbo huu wa dunia haina huruma inatufunza kwamba binadamu tukipata shida hakuna hata mmoja atakae kutazama na kukusaidia .