Chella - My Darling (Official Video)

 

wimbo umetungwa na kuimbwa na chella kutoka Nigeria ulifanya vizuri katika platform zote za muziki Tanzania msanii mkubwa Diamond platnumz aliweza kuomba kolabo na msanii huyu na nyimbo ilikuwa nzuri sana.  tazama wimbo huu wa darling hapa


Previous Post Next Post