Homebongo fleva Mocco Genius - Ntadedi producer mkongwe mocco genius kaamua mda huu kuimba na kuachana na kuproduce nyimbo kaachia wimbo wake mpya unaitwa nitadedi ambapo producer wa nyimbo hii ni abbah the process na director ni mocco genius.utazame wimbo huu hapa Facebook Twitter