Rehema Simfukwe kamshirikisha Jonathan Kartagata wimbo unaoitwa Nina ushuhuda ambao rasimi umetoka tarehe 30/6/2025 ambapo wimbo huu umerikodiw a live Favour - Maji Jangwani Project - Kenton Grounds D'Salaam, Tanzania
wimbo huu ume produziwa na Samuel Yonah - @samyonstudios na directed by @mr.director_mek @director_blesser. utazame wimbo huu hapa .