Unakunywa maji vizuri? fahamu faida unazokosa ukipuuza hii tabia.

 

Kwa kawaida binadamu yeyote Yule anapaswa kuwa na maji ya kutosha mwilini yani asilimia 60% lakini tofauti sana kwa binadamu wengi wanapokwenda hosipitalini ulazwa kutokana na kukosa maji mwilini  nawengine hufa kabisa kutokana na chanzo kupoteza maji kupitia mkojo, kinyesi, pamoja na jasho. leo nitakuambia umuhimu wa kwako kunywa maji ili kuondokana na magonjwa mbalimbali yanayokusumbua maishani mwako.



Ifuatayo ni faida ya kunywa maji katika mwili wa binadamu

·         Husaidia kumeng’enya chakula

Hapa unapaswa kunywa glasi moja ya maji dakika chache tu kabla haujala kifungua kinywa au kabla haujala chakula cha  jioni.

·         Huondoa sumu mwilini

Mara nyingi mtu akinywa maji ya kutosha mara kwa mara inamrahisishia kuweza viungo vyake vya mwili kufanya kazi vyema. Mfano ya viungo ni kama vile figo,magoti na viwiko.

·         Husaidia kutibu kichwa

Mtu akipungua maji mwilini mwake  usababisha yeye kuumwa na kichwa  kwa hiyo inashauriwa  anywe maji ya kutosha ili asisumbuliwe na kichwa angalau glasi tatu kila siku.


 Husadia kutibu saratani

Mara nyingi watu ambao wanasumbulia na saratani ya tumbo ni wale ambao mara zote huwa awanywi maji ya kutosha na ndiyo maana hupeleka wao kusumbuliwa hivyo inashauriwa kunywa maji kwani maji husaidia suala zima la usagaji wa chakula na ufanya tumbo kuwa safi na vyema.

SOMA PIA:Mambo Sita Yasiyopaswa Kufanywa Wakati Wa Ujauzito

·         Huimarisha ngozi

Mara zote mtu anapokunywa maji mengi kila siku angalau  litre mbili hufanya ngozi yake kuweza kuwa nyororo na nadhifu nay a kuvutia

NB:Kwa hiyo unapaswa kunywa maji ya kutosha kila siku ili uweze kuwa mcheshi mbunifu  na hata wale ambao wanataka kuwa wambamba husaidia sana katika kupungua na hata hupunguza njaa.

Je wewe unakunywa maji kiasi gani kila siku?

Previous Post Next Post

Ad 1

Ad 2