Programu muhimu kuwa nazo katika kompyuta yako


Unaweza kuwa umenunua kompyuta yak oleo na unatamani kufahamu ni program gani kuwa nayo katika kompyuta yako basi usijali. Nitakufahamisha program  kuwa nazo katika kompyuta yako nan i kama zifuatazo:

·         Program namba moja ni vlc player


Program hii itakurahisishia wewe kuweza kucheza filamu,makala,matangazo zilizokuwa mfumo wa video na ambazo zinaambatana na sauti. Pia katika program hii itakurahisishia kurekodi baadhi ya video zilizoambatana na sauti na baadae kuweza  kwenda  kuhariri  na hutumiwa na mamia ya watu kutokana na kuonesha picha angavu yaani HD na sauti inayosikika vizuri.

·         Program namba mbili ni office

Program hii ni muhimu sana kuwa nayo kwani itakusaidia wewe kuandika baadhi ya makala,script,cv,mithani.

Pia kupitia program hii mara nyingi hutumika shuleni,ofisini,mahakamani, na  imeweza kugawanyika katika makundi matatu 


·         Word

·         Publisher

·         Excel

·         Nikianza na  word program hii inasaidia kuandika ,kuandaa jedwali na kuandaa mitihani

·         Publisher husaidia  katika kutengeneza card mbalimbali,mabango pamoja na logo

·         Excel husaidia san asana katika kuanda bajeti na kufanya mahesabu mbalimbali.

·         Program namba tatu ni Browser



Kupitia program hii itakurahisishia wewe kuweza  kuperuzi mtandaoni   na pia kuhifadhi data muhimu sana kama nakala ,picha ,muziki na vitu vingine vingi. Browser zipo nyingi sana kama vile google chrome,Firefox,opera  mini, safari.  Katika browser zote hapo ni muhimu kuchagua moja ambayo  utaipendelea kufanya nayo kazi lakini zote zinafanya kitu kimoja.  Pia huku katika program hii utaweza kusave password zako zote utakazo ingilia katika  website mbalimbali na baadhi ya program zinazo hifadhi data  ndani ya browser ni kama zile google drive,open drive, na drop box.

MUHIMU: Browser pendwa na inayotumiwa na wengi kwa sasa ni GOOGLE CHROME.

·         Program ya nne ni Antivirus


·         Program ni muhimu sana kuwa nayo kwani itakusaidia wewe kuweza  kulinda kompyuta yako dhidi ya virus  kwa jina la kitaalamu ni malware. Virus hawa hushambulia program  zote za kompyuta  na hufanya kompyuta yako kuweza kukorupt kwenye window kwa hiyo ni muhimu kuwa na antivirus kama vile smadav,Kaspersky,360 security. Lakini ukiwa na hizi antivirus inatokana na kazi ya kompyuta yako inafanya heavy duties kama vile kila muda upo mtandaoni au unachukua vitu kutoka katika kompyuta nyingine kupitia usb  ni muhimu kuwa na antivirus lakini kama wewe unatumia kompyuta kwa matumizi yay a kawaida ainahaja ya kuwa na antivirus unaweza kutumia iliyopo katika kompyuta yako inayoitwa window defender.

SSSOMA PIA:Mabilionea wadogo zaidi duniani mwaka 2025

S

·         Programu ya tano ni winrah


Kupitia program hii itakusaidia sana kuweza kuextract mafaili mbalimbali ambayo umeweza kudownload na yaweshinda kufunguka kwa hiyo utaitaji program ya winrah ili yafunguke vizuri bila hata kugoma.

HITIMISHO

Program hizi zote ni za muhimu sana na utapata kupitia website ya get into pc na password ya program baada ya kudownload ni 123.

Kama umejifunza kitu usisahau kushare na ndugu jamaa na marafiki. Na andika katika komenti unataka kujifunza nini katika teknolojia au simu?


Previous Post Next Post

Ad 1

Ad 2