Mwaka 2026 kutatokea matukio mbalimbali ya kushangaza kuhusu
anga yenye kuvutia na kushangaza machoni.
Utaweza kukutana na mambo mbalimbali kama mwezi kubadilika
kuwa mwekundu kutokea giza la
ajabuulimwenguni nyota zote kupotea matukio haya yanaweza kujitokeza mwaka huu
2026.
MACHI MWAKA HUU2026
Itakuwa kivutio kikubwa mwezi utakuwa mwekundu wakati wa
kupatwa kwa mwezi
MWEZI MEI 2026
Mwezi utabadilika kuwa bluu moon
Januari itakuwa mwezi wa mbwa mwitu.
MAMBO YATAKAYOTOKEA NCHINI TANZANIA KUHUSU ANGA NI KAMA
YAFUATAYO:
COLD MOON:
Desemba 23Tanzania mikoa ya Mbeya ,Dar es salaam Njombe
utaweza kuona mwezi ambapo wakati jua linachomoza na kuzama pia
BLUU MOON
Mei 312026 nchini Tanzaniamwezi utabadilika na kuwa rangi ya
bluu midda 11:45am utaweza kushuhudia.
FLOWER MOON
Ijumaa ya mei 1mwaka huu 2026utaweza kushudia tukioflower
moon utaweza kushuhudia nyakati jua linapozama watu wa Mbeya na Dar es salaam
wataweza kuona.
PINK MOON
Jumatano ya April 4 utaweza kushuhudia tukio adimu la mwezi
kubadilika na na kuwa pink ni tukio ambalo Tanzania tutaweza kushudia kwa macho
yetu.
BLOOD MOON
Machi3utaweza kushuhudia mwezi wote utabadilika na kuwa
rangi nyekundu kama damu ni tukio litakalojitokeza kila mtualiyopo Tanzania
utaweza kushuhudia.
SSSOMA PIA:Mabilionea wadogo zaidi duniani mwaka 2025
WOLF MOON
Januari3 mida ya saa1:02 usiku mnene utaweza kushuhudia wolf
moon wataweza kulia kwa sautiya juu miaka ya nyuma ilijulikana kama masuala ya
kijadi walilia kwa sababu ya nja na baridi kalijapo sio kweli.
SNOW MOON
Februari Tanzania kwa wakazi wa mkoa wa moshi wanaopanda
mlima Kilimanjarowataweza kushudia mwezi wa barfu utakaojitokeza nyakati za
usikuwa februari1 mwaka huu 2026.
SSSOMA PIA:Unakunywa maji vizuri? fahamu faida unazokosa ukipuuza hii tabia.
Kama umefurahishwa na Makala hii usisite kushare na ndugu
jamaa na marafiki ili wajifunze Zaidi.