Alpha Blondy & The Solar System - Sébé Allah Yé (Live)
Alpha blondy ni mwimbaji wa raggae aliyepata umaarufu kutokana na wimbo wake wa jerusalem alitoa wimbo mwingine ambao ujajulikana sana ambao ni solar system unaweza kutazama video ya nyimbo hiyo hapa