Bob Marley - Get Up, Stand Up (Live at Munich, 1980)

 



Bob marley mwaka 1980 alielekea ujerumani na kuimba wimbo huu uliofahamika kama get up stand up kwa kuwa alipenda kila mmoja aweze kusimamia haki zake na wasiweze kukata tamaa wanappotafuta haki zao. utazame wimbo huu upate elimu kidogo

Previous Post Next Post