Baada ya kufanikiwa kwenye wimbo wake ulitrend sana kwenye mitandao yote ya kijamii ulifahamika kama afande Dogo paten siku ya leo kaamua kuja na wimbo mpya ambao unafahamika kama ungefanya je wimbo huu umebeba hisia baada ya kuumizwa na mapenzi na unaweza kuutazama hapa video ya ungefanyaje ambao umedirected by MAJAG.