Maua Sama & Mchina Mweusi - Miayo (Official Music Video)

 

Msanii wa bongo fleva anayefahamika kama  Maua Sama amekuja kiutofauti kwa kumshirikisha mchina mweusi ma kuimba singeli ma jambo ambalo halijawahi kutarajiwa na ameimba vizuri na wimbo huu umeandikwa na maua sama na kuimbwa na maua sama pamoja na mchina mweusi wimbo unafahamika kwa jina la miayo. ambapo umeproduced by kenny.



Previous Post Next Post