msanii kutoka lebo ya TipTop connection Maarifa ambaye kiongozi wao mkubwa ni madee amefanikiwa kutoa wimbo mpya unaokwenda kwa jina la mpe simu ambapo kaweza kumshirikisha msanii wa Tanzania anayefahamika kama Roma mkatoliki ambapo makazi yake yapo marekani na wimbo huu umedirected by jonar.
Tazama video hii hapa