mwimbaji wa bongo fleva wa zamani kuanzia 2006 amerudi kwenye game na wimbo wake mpya unaoitwa final sub ambapo kamshirikisha Ibrah msanii kutoka konde gang na wimbo huu producer aliyeproduce ni T TOUCH na director ni KWETU STUDIO.
Utazame wimbo huu hapa