Msamiati x Young Lunya x Boybronze - Nyerere ( Official music video )
msamiati mwimbaji kutoka mbeya kaamua kumshirikisha younglunya wimbo wake unaitwa Nyerere kuonesha kuwa kizazi kinachokuja kuwa mwalimu nyerere aliweza kufanya mabo mengi sana ambayo yalipelekea nchi kuwa na mshikamano baina ya jamii moja na nyingine.