Marioo ni msanii kutoka Tanzania na anafanya vizuri kwa kila aina ya muziki ameachia wimbo wake mpya ambao unaitwa hahaha ambapo wimbo huuumetungwa na kuimbwa na marioo na director aliyeongoza video hii ni Joma na producer aliyeproduce nyimbo hii ni
Good Master & Kaniba Creator.Enjoy kwa kutazama video hapa kwa mara ya kwanza