Paul Clement ft Neema Gospel Choir - Bado Naishi ( Official Live version Video

 

Msanii wa gospel Paul Clement ametoa wimbo wake mpya ambao amemshirikisha  Neema Gospel Choir wimbo huu unaitwa bado naishi. Na wibo huu umeandikwa na paul clement  na kumixiwa na Mark Montgomery.Nkudirected by Amigo Johnson. wibo huu una motisha sana na unaweza kutazama video kwa mara ya kwanza hapa.

Previous Post Next Post