mwanamuziki kutoka marekani anayefamika kama wiz khalifa miaka 10 iliyopita alifanikiwa kutoa wimbo wake unao fahamika kama promise ambapo wimbo kila mmoja aliupenda hadileo hii wimbo huu bado unaishi na aliyedirect wimbo huu ni Gerard Victor
utazame wimbo huu hapa chini