Wiz Khalifa - See You Again ft. Charlie Puth [Official Video] Furious 7 Soundtrack

 

wimbo huu umedirektiwa na Marc Klasfeld na wimbo umeandikwa na wiz khalifa kwa ajili ya kumkumbuka paul walker ambaye kwenye first furious ya 7 aliweza kupoteza maisha baada ya kugonga gogo. ilikuwa mwaka 2013 utazame wimbo huu hapa chini



Previous Post Next Post