Teknolojia ya artificial imtelligence imeleta mapinduzi
katika namna tunavyotafuta taarifa mbalimbali kupata mawazo na hata
kujifunza AI mar azote ni program muhimu
kwa kila mmoja katika maisha ya kila siku kwani unas kufanya utafutaji wa
taarifa wa kazi kwa ubunifu zaidi.
GOOGLE GEMINI
Gemini ni nzuri kwani
inakusaidia wewe kuweza kupta habari mpya kwani google inapata taarifa
nyingi mpya
Gemini ni msaidizi wa AI
wa google inapatikana appya google
inasidia utafutaji kwa kazi ubunifu pamoja na uwezo kuunda maandiko
mbalimbali pamoja na picha.
FAIDA ZAKE
Inatoa majibu kutoka katika serch engine za google
Inaweza kuunda maudhui kama
videona picha ubunifu zaidi.
Unajiunga vizuri kwa kutumia gmail inatokana na huduma za
google.
HASARA
Vipengele vya juu katika program hii ni bei ghali zaidi kwa hiyo unahitaji kulipia
NAMNA YA KUIPATA
Android:Nenda playstore na andika google gemine na install
Iphone:Nenda appstore
kasha andika google Gemini na udownload
GRAMMARLY
Inasaidia maandikombalimbali ambayo yameandikwa kwa lugha ya kiingereza kwa kuboresha
misamiati na sarufi zilizokosewa
FAIDA
Inafanya kazi maeneo yote
kama kutafuta kuandika email,cv na
mengine mengi
Inarekebisha makosa yote kwa ufasaha zaidi kwa matumizi ya
maneno
HASARA
Toleo la bure ina vipengele vichache ukitaka vingi labda
ulipie
Inatumia lugha ya kingereza pekee
OTTER AI
Ni Ai ambayo inawasaidia wale watu ambao wanataka kuchukua
notsi ya mazungumzo kwenye vikao mbalimbalimbali unayofanya baada ya hapo mazungumzo hayo yanabadilishwa kuwa
maandishi.
FAIDA
Inarekodi sauti na kutafsiri kuwa maandishi wakati huo
Inakusaidia kusikiliza mazungumzo uliyoyazungumza kwenye kikao na kuondoa maandishi ambayo
yamekosewa.
CHATGPT
Ni ai ambayo inasaidia kupata taarifa na kupata mawazo
mbalimbali na hata ushauri
FAIDA
Inasaidia shughuli za utafiti mbalimbali
Inapatikana bure kwa matumizimachache ya kila siku
HASARA
Taarifa zinazotolewa sio zote ni sahihi inategemea na vyanzo vya mtandao
Kama huduma
zinazotolewa na AI inahitaji uhakika wa taarifa ili kutoweza kuwapotosha
Kwa kumalizia nasema kuwa hizi program zote zinapatikana
kwenye playstore na appstore
Lakini tukumbuke kwamba
teknolojia hizi za AI ni bora zaidi ukitumia lakini kwa asilimia
kubwa inapunguza IQ yako yaani uwezo wako wako wa kutafakari
mambo kwa hiyo kwa ushauritukitumia hizo program tuhakkishe kuwa tuna maarifa
hata kidogo.
Kama umependa makala hii usisahau kushare na ndugu jamaa na
marafiki.