Mabilionea wadogo zaidi duniani mwaka 2025


 

Kulingana na mtandao wa forbes umetotoa list ya  mabilionaire wadogo zaidi duniani  ambao mabilionaire hao  wana umri kunzia miaka 20-30 kwa mwaka huu 2025.

Na mabilionaire hao  ni hawa wafuatao:

SOPHIE LUISEGELMANN

 ana umri wa miaka 30 anatokea taifa la GERMANY  chanzo cha  utajiri ni mpimaji macho yani anatibu watu macho. Na utajiri wake ni dola bilioni 2.8

KATHARINA ANDRESEN

Ni mwanadada wa utaifa wa Marekani  ana umri wa miaka 29 na chanzo chake kikubwa cha mapato ni uwekezaji na tathmini wa  mapato yake ni dola billion 2

ED CRAVEN

Ni mkaka ana utaifa wa ustralia na chanzo chake cha mapato ni kuchezeha casino online  ana thamani ya dola bilioni 2

KIM JUNG YOUN

Ni mkaka anaumri  wa miaka 21 ametokea taifa  la korea kusini chanzo chake cha mapato anachezesha  game mtandaoni  tathmini ya utajiri wake ni dola bilioni 1.3

ALEXANDRA WANG

SOMA PIA:Mambo Sita Yasiyopaswa Kufanywa Wakati Wa Ujauzito

Ni mkaka mwenye umri wa miaka 28 akitokea taifa la marekani chanzo chake cha mapato ni AI thamani ya fedha ambacho anakimiliki ni  ni dola bilioni 2

LEONARDO MARIA DEL VECCHIO

Ana umri wa miaka 29 katokea utaifa wa italia chanzo chake kikuu cha mapato kuuza miwani  tathmini  ya utajiri wake ni dola za kimarekani bilioni 6.6

Sawa ni list ya mtandao wa forbes lakini tukiangalia kwa hapa Tanzania watu wengi wanadharau kidogo walichonacho lakini ukiangalia mtu anauza miwani tu anakuwa bilionare  tunabidi kuamka na tuchukue fursa zozote zinazotuzunguka

Kama umependa makala hii comment hapo chini ni fursa gani utaanza leo uwe billionare?

Previous Post Next Post

Ad 2