Excel ni spreadsheet tool inayotumika kuhifadhi ,kupanga na
kuchambua data.
Ni tool ya kwanza kwa watu wengi huanza kuitumia kabla ya
tool nyingine za data
HIZI HAPA NDIO KAZI ZA EXCEL
·
Excel husaidia kufanya calculation (formulars)
·
Husaidia kuchuja data (filter)
·
Husaidia kupanga data (sort)
·
Pivot Husaidia kutengeza charts (dashboard)
·
Husaidia kutengeneza summary (pivot table)
HIZI NDIZO SEHEMU
AMBAPO EXCEL HUTUMIKA
·
Excel inatumika kurekodi data
·
Excel inatumika kufanya budget na biashara
·
Excel inatumika
kuandika report ya matumizi
·
Excel hutumika kufahamu maudhurio
·
Excel inatumika kufahamu mauzo
SOMAPIA:Programu muhimu kuwa nazo katika kompyuta yako
MADHAIFU
YA KUTUMIA EXCEL
Excel ni tool nzuri lakini haikutengenezwa kwa data kubwa
sana ikifika mamilioni ya rowsinakuwa slow na kuscrash
Automation ya excel ni ndogo inahitajimacros/VBA ambazo si
rahisi kuweza kutumiwa na wengi
NANI ANAHITAJI EXCEL
·
Businness owner
·
Accountant
·
Data analyst
·
Office proffesion
KUMBUKA:KAMA UNAFANYA KAZI ZA ZA DATA EXCEL
NI LAZIMA.
HIZI NDIZO FORMULAR RAHISI SANA KUZIFAHAMU:
1. FORMULA ZA HESABU(MATH)
|
MAELEZO |
FORMULA |
MFANO |
|
JUMLA |
=SUM(A1:A5) |
A1-A5 |
|
WASTANI |
=AVERAGE(A1:A5) |
150/5=30 |
|
NDOGO ZAIDI |
=MIN(A1:A5) |
10 |
|
KUBWA ZAIDI |
=MAX(A1:A5) |
50 |
|
HESABU NAMBA |
=COUNT(A1:A5) |
5 |
|
ZUNGUSHA |
=ROUND(A1,2) |
12,345-----12.5 |
2.
FORMULA
ZA MASHARTI
|
MAELEZO |
FORMULA |
MFANO |
|
SHARTI |
=IF(A1>=50,”PASS”,”FAIL”) |
A1=60----PASS |
|
MASHARTI YOTE |
=AND(A1>=50,B1>=50) |
60 $ 70---TRUE |
|
SHARTI MOJA |
=OR(A1>=50,B1>=50) |
40 $60----TRUE |
|
KINYUME |
=NOT(A1>=50) |
40----------TRUE |
FORMULA ZA STATICS
|
MAELEZO |
FORMULA |
MFANO |
|
KATI |
=MEDIAN(A1:A5) |
10,20,3040,50 MEDIAN
IS 30 |
|
INAYOJIRUDIA |
=MODE(A1:A5) |
10,20,20 MODE IS 20 |
|
MKENGEUKO |
=STDEV(A1:A5) |
THAMANI |
|
VARIANCE |
=VAR(A1:A5) |
THAMANI |
|
|
|
|